Author: Charles Adika
-
-
-
-
-
MASHIRIKA NA SEFA NA NRT YAENDELEA KUWANUFAISHA WAKULIMA POKOT MAGHARIBI.
Wakulima eneo la orolwo, eneo bunge la Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamenufaika na mbegu za mimea mbali mbali kutoka kwa shirika la sefa kwa ushirikiano na lile […]
-
UONGOZI WA TRANS NZOIA WAHIMIZWA KURAHISISHA SHUGHULI YA UTOAJI VITAMBULISHO.
Shinikizo zinazidi kutolewa kwa uongozi wa Kaunti ya Trans Nzoia kurahisisha shughuli ya utoaji wa vitambulisho kwa vijana waliohitimu kupata vitambulisho eneo bunge la Endebess badala ya kuwahangaisha kwa misingi […]
-
WAKAZI BARINGO WAHIMIZWA KUKUMBATIA AMANI.
Wakazi wa kaunti ya Baringo wamehimizwa kuwa msitari wa mbele kuhakikisha kuwa amani inadumishwa katika maeneo ambayo hushuhudia visa vya wizi wa mifugo.Kamishina wa kaunti hiyo Henry Wafula amesema kuwa […]
-
POLISI WALAUMIWA KWA KUWAKAMATA KIHOLELA WAKAZI MAKUTANO.polisi
Wakazi mjini makutano kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia kile wamedai kukamatwa kiholela na maafisa wa polisi kwa madai ya kutekeleza kanuni za kukabili msambao wa virusi vya corona.Wakizungumza […]
-
-
Top News







