Author: Charles Adika
-
VIONGOZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUENDELEZA KAMPEINI ZA AMANI
Viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuendeleza kampeni zao kwa heshima hasa wakati huu taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu.Ni wito wake […]
-
WANAFUNZI MMOJA AMENASWA AKIUFANYA MTIHANI WA KITAIFA WA KCSE AKIJIFANYA KUWA MTAHINIWA KWA NIABA YA NDUGUYE
Mtihani wa kidato cha nne ksce unaendelea leo hii kwa siku ya tatu baada ya kuanza rasimi jumatatu hii huku waziri wa elimu proff George magoha akiwaagiza wasimamizi wa mitihani […]
-
VIONGOZI WA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WAMEHIMIZWA KUKOMA KUINGILIA MASWALA YA HOSPITALI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amevunja kimya chake kufuatia shutuma ambazo zimeendelea kuelekezwa kwa serikali yake kutokana na hali inayotajwa kuwa mbaya katika hospitali ya Kapenguria.Akizungumza […]
-
UCHUNGUZI UNATARAJIWA KUFANYIKA KATIKA TAIFA JIRANI LA UGANDA NA KENYA MPAKANI MWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUHUSIANA NA MADAI YA UFISADI.
Idara za uchunguzi katika wilaya ya Amudat mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda zinatarajiwa kuendesha uchunguzi kuhusu visa kadhaa vya ufisadi.Akizungumza na wanahabari katika […]
-
MTIHANI WA KIDATO CHA NNE UMENGOA NANGA BILA TASHWISHI YEYOTE KWA MARA YA PILI KATIKA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne kcse unatarajiwa kuendelea hii kwa siku ya pili baada ya kuanza rasimi hapo jana.Leo hii watahiniwa wa kcse wanafanya somo la hisabati na […]
Top News








