Author: Charles Adika
-
UKOSEFU WA AJIRA WATAJWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wengi nchini umechangia wengi wao kujiingiza katika visa vya uhalifu ili kuweza kujikimu kimaisha na pia kumudu mahitaji ya familia zao.Haya ni kulingana na […]
-
WASOMI BARINGO WATAKA KUTAFUTWA SULUHU KUHUSU UTOVU WA USALAMA KAUNTI HIYO.
Wasomi katika wadi ya marigat kaunti ya Baringo wanaitaka serikali kuu kwa ushirikiano na viongozi kutafuta suluhu ya kudumu kwa tatizo la utovu wa usalama kwenye baadhi ya maeneo ya […]
-
VIONGOZI KAUNTI YA TRANSNZOIA WAMETAKA KUHAKIKISHIWA USALAMA WAO
Wawaniaji Viti wanaogemea Mrengo wa Odm Trans nzoia wametaka kuhakikishiwa usalama wao wanapoendeleza kampeini za uchaguzi hapo mwakani.Wakiongozwa na Dorothy Alioba pamoja na Naomi Okul,wawaniaji hao wanadai kunyimwa usalama licha […]
Top News








