Author: Charles Adika
-
SHULE YA KIBINAFSI JACK AND JILL TRANSNZOIA YANGAA KAUNTI HIYO KATIKA MTIHANI WA KCPE
Mkurugenzi wa shule ya msingi ya Jack and Jill katika kaunti ya Trans nzoia Nelson Pinto Atudo amepongeza matokeo bora ambayo yamerekodiwa na shule hiyo katika mtihani wa kitaifa KCPE […]
-
WANAFUNZI WENGI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAMENGAA KATIKA MTIHANI WA KITAIFA WA KCPE
Shule ya msingi ya Town View katika kaunti hii ya Pokot magharibi ni miongoni mwa zilizotia fora kwenye mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE mwaka huu ambao umetangazwa […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASHUTUMIWA KWA UKARABATI WA BAJETI.
Huenda serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi ikakosa kupokea tena mgao unaotolewa kwa serikali za kaunti baada ya kubainika kuwa uongozi wa kaunti umekuwa ukikarabati bajeti yake.Haya ni kwa […]
Top News







