Author: Charles Adika
-
WAKAZI WATAKIWA KUKUMBATIA BARAZA LA MAWAZIRI LA GAVANA KACHAPIN.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kushirikiana kikamilifu na baraza la mawaziri lililobuniwa na gavana Simon Kachapin ili kuhakikisha utendakazi bora na kujizuia na kuingiza siasa […]
-
CBC YAUNGWA MKONO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Kamati ya elimu ya kutathmini utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC iliyoundwa na rais William Ruto kutafuta maoni kwa wakenya kuhusu utekelezwaji wa mtaala huo ikitarajiwa kuendeleza vikao hivyo […]
-
MAAFISA WA POLISI WAKASHIFIWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KWA KUWEKA VIZUIZI KWENYE BARABARAKUU YA LODWAR KITALE
Mbunge wa kapenguria Samuel Moroto amesema inasikitisha kuona kwamba kaunti ya pokot magharibi ina zaidi ya vizuizi 15 vya barabarani kutoka mji wa makutano hadi sigor na maeneo mengine, Vituo […]
Top News








