Author: Charles Adika
-
Aston Villa Yamteua Aliyekuwa Kocha wa Arsenal Unai Emery Baada ya Steven Gerrard Kutimuliwa.
Aston Villa wamemteua kocha wa Villareal, Unai Emery kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baada ya Steven Gerrard kupigwa kalamu Emery atawachana na majukumu yake Uhispania, ambapo kwa sasa Villareal […]
-
WAASI WA ELIMU WATATIZA USALAMA LOMUT
Asasi za usalama katika serikali, kaunti ndogo ya Pokot ya kati kaunti hii ya Pokot magharibi zimetakiwa kushughulikia tatizo la vijana kujitosa kwenye visa vya uporaji na kusababisha hali ya […]
-
UHABA WA MAJI WAZIDI KUWA KERO CHEPTUYA
Wenyeji wa eneo la Cheptuya katika wadi ya Mnagei eneo bunge la Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uhaba wa maji baada ya serikali kusitisha kwa muda mpango […]
-
ILANI YATOLEWA KWA WAKAZI WA TIATY KUSALIMISHA BUNDUKI YA POLISI.
Serikali imetoa makataa ya siku tatu kwa wakazi wa Ekoret eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo kurejesha bunduki ambayo inadaiwa kumilikiwa na mmoja wa maafisa wanane wa usalama waliouliwa […]
-
POLISI WAMSAKA MWANAMME ALIYEMUUA MAMAKE KUFUATIA MZOZO WA MAHINDI TRANS NZOIA.
Polisi eneo la Kiminini katrika kaunti ya Trans nzoia wanaendeleza msako dhidi ya kijana mmoja mwenye umri wa miaka 21 kwa tuhuma za kumuua mamake Judith Nafula Konya ambaye alikuwa […]
Top News










