Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUZINDUA ZOEZI LA KUWACHANJA MIFUGO.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin anatarajiwa kuongoza shughuli ya mwezi mmoja ya kuchanja mifugo ambayo inatarajiwa kuanza tarehe 8 mwezi Desemba. Akizungunza na wanahabari Kachapin alisema kwamba […]
-
WAKAZI MASOL WANUFAIKA NA MRADI WA UJUZI MANYATANI.
Zaidi ya wakazi 600 kutoka kaunti za wafugaji wamenufaika kutokana na mradi wa ujuzi manyatani ambao unatoa mafunzo ya kiufundi kwa wakazi katika kaunti hizi ili kuwapa uwezo wa kujiendeleza […]
-
WANAOPINGA MIPANGO YA KUAGIZWA MAHINDI KUTOKA MATAIFA YA NJE WASUTWA VIKALI.
Mjadala kuhusu uagizaji wa mahindi kutoka nje ya nchi ukiendelea kushika kasi nchini, baadhi ya wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameunga mkono swala hilo wakiwataka wanaopinga kukoma kuingiza siasa […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUKUMBATIA MTAALA WA CBC KWA MANUFAA YA WANAO.
Wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia mfumo mpya wa elimu CBC kwa manufaa ya wanao siku za usoni. Akizungumza katika hafla ya elimu katika shule ya msingi ya […]
Top News








