Author: Charles Adika
-
WALIMU KUTOKA POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUNYIMWA UHAMISHO NA AFISI ZA TSC TRANS NZOIA.
Mamia ya walimu kutoka kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kupiga kambi katika afisi ya Kamishna wa kaunti ya Trans-Nzoia, kulalamikia hatua ya tume ya kuajiri walimu nchini, TSC, kuchelewesha uhamisho […]
-
MAAFISA WA ELIMU POKOT MAGHARIBI WAENDESHA UKAGUZI SHULENI MASOMO YA GREDI YA SABA YAKIANZA RASMI.
Maafisa katika idara ya elimu na ile ya usalama kaunti ya pokot magharibi wamefanya ukaguzi katika baadhi ya shule kwenye kaunti hiyo wakati wanafunzi waliofanya mtihani wa gredi ya sita […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAUMIWA KWA KUENDELEZA SIASA ZA MAPEMA.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewakosoa baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kwa kile amesema kwamba wameanza kujihusisha na siasa za mapema miezi michache […]
-
WADAU WATAKIWA KUZIDISHA VITA DHIDI YA MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WATOTO WA KIKE.
Jamii imetakiwa kuchangia katika juhudi za kuhakikisha kwamba mimba za mapema miongoni mwa watoto wa kike zinakomeshwa kabisa katika kaunti ya Pokot magharibi.Ni wito wake naibu mwalimu mkuu wa shule […]
Top News








