Author: Charles Adika
-
MASHAMBULIZI YA WEZI WA MIFUGO YASALIA MWIBA BONDE LA KERIO LICHA YA OPARESHENI YA POLISI.
Mbunge wa Baringo kusini Charles Kamuren anaitaka serikali kuimarisha mikakati yake ya kukabiliana na washukiwa wa wizi wa mifugo wanaoendeleza uvamizi kila mara kwenye kaunti za bonde la kerio. Kulingana […]
-
MAANDAMANO YA MRENGO WA AZIMIO YATAJWA KUWA UCHOCHEZI DHIDI YA SERIKALI YA RAIS RUTO.
Viongozi mbali mbali wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wameendelea kukosoa maswala ambayo yanashinikizwa na kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga na vinara wenza […]
-
-
KALVIN PHILIPS HAENDI MAHALI.
Tetesi za soka. Manchester City haina mpango wa kumuuza kiungo wake wa kati wa Uingereza Kalvin Phillips msimu huu wa joto, licha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 […]
-
HARRY KANE KUJIUNGA NA MASHETANI WEKUNDU.
Tetesi za soka. Manchester United wanajiandaa kutoa dau la pauni milioni 80 kumnunua mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 29, baada ya mtendaji mkuu wa klabu Richard Arnold kuidhinisha […]
Top News








