Author: Charles Adika
-
WAHALIFU WAKAIDI OPARESHENI YA KIUSALAMA BONDE LA KERIO NA KUENDELEZA MASHAMBULIZI DHIDI YA RAIA.
Wahalifu wanaoendeleza wizi wa mifugo wameendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya raia katika eneo la bonde la kerio licha ya oparesheni ya kiusalama ambayo inaendelezwa na maafisa wa polisi pamoja na […]
-
JAMII YA KARAMOJA YATAJWA KUWA MWIBA , KWEN NA KARITA.
Wakazi wa jamii za eneo la Kwen mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wamelalamikia kukithiri utovu wa usalama eneo hilo hasa unaohusu wizi wa mifugo.Wakiongozwa […]
-
HUDUMA ZA MAHAKAMA ZATARAJIWA KUIMARIKA POKOT MAGHARIBI IDARA HIYO IKILENGA KUJENGA MAHAKAMA ZAIDI.
Idara ya mahakama kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inalenga kufungua mahakama zingine mbili maeneo ya Alale na Sigor kama njia moja ya kupeleka huduma za mahakama […]
Top News









