Author: Charles Adika
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAWASUTA MAAFISA WA POLISI KWA KUWADHULUMU WANANCHI WANAPOENDESHA OPARESHENI YA KIUSALAMA.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kuwasuta maafisa wa polisi ambao walivamia kijiji kimoja eneo la Lomut kwa kile walidai kuendeleza oparesheni ya kusaka silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria. […]
-
KANISA LA ST. ANDREWS ACK KAPENGURIA LAENDELEA KUKUMBWA NA MZOZO WA UONGOZI.
Kanisa la kianglikana la St. Andrews dayosisi ya Kapenguria limeendelea kukumbwa na mzozo wa uongozi ambao umetatiza ibaada hapo jana waumini wakilalamikia mbinu inayotumika kuchagua uongozi wa kanisa hilo. Wakiongozwa […]
-
MAAFISA WA USALAMA WASHUTUMIWA KWA KUWADHULUMU WAKAZI WAKATI WA KUENDESHA MSAKO LOMUT.
Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameshutumu vikali kile ambacho amedai hatua ya maafisa wa jeshi kuendesha msako katika nyumba za wakazi wa eneo la Lomut kwa […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA MAJI SAFI YA MATUMIZI.
Waziri wa maji katika kaunti ya Pokot magharibi Lucky Litole amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kwamba wizara yake inaendeleza mikakati ya kuhakikisha wanapata maji safi ya matumizi. Litole alisema kwamba […]
Top News









