Author: Charles Adika
-
VIONGOZI WA DINI WATAKA MAZUNGUMZO BAINA YA SERIKALI NA AZIMIO KUWAHUSU WAKENYA.
Viongozi wa kidini katika kaunti ya Pokot magharibi wameunga mkono mazungumzo baina ya serikali na chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya ambayo yananuia kutafuta mwafaka kuhusiana na […]
-
KACHAPIN ATETEA UTENDAKAZI WAKE MWAKA MMOJA TANGU ALIPOINGIA AFISINI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameendelea kutetea utendakazi wake mwaka mmoja tangu alipochaguliwa kuongoza kaunti hiyo kwa mara ya pili, huku akiwasuta wakosoaji wake kuwa wanaondeleza siasa […]
Top News







