Author: Charles Adika
-
MASHIRIKA YANAYOPAMBANA NA UKEKETAJI YATAJA UKOSEFU WA UFADHILI KUWA CHANGAMOTO KUU KWA SHUGHULI ZAO.
Mashirika yanayoendeleza vita dhidi ya ukeketaji katika kaunti hii ya Pokot magharibi yametaja ukosefu wa ufadhili wa mashirika hayo kifedha kuwa changamoto kuu katika juhudi zao kuhakikisha kwamba tamaduni hii […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUSHUGHULIKIA KWA DHARURA UTATA UNAOKUMBA ARDHI YA CHEPCHOINA.
Mbunge wa Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto ameitaka serikali kuchukua hatua za kushughulikia utata unaokabili ardhi yenye utata ya Chepchoina mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET WATAKIWA KUCHOCHEA UHUSIANO MWEMA MIONGONI MWA WAKAZI WA KAUNTI HIZO.
Wito umetolewa kwa viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet kuimarisha uhusiano miongoni mwa wakazi wa kaunti hizi mbili kama njia moja ya kukabili uhalifu […]
Top News








