Author: Charles Adika
-
LOPETAKOU: AMANI ITAAFIKIWA KASKAZINI MWA BONDE LA UFA IWAPO WAKAZI WATAKUMBATIA ELIMU NA SHUGHULI ZA MAENDELEO.
Hali ya usalama itarejea tu katika kaunti za kaskazini mwa bonde la ufa iwapo wakazi wa maeneo haya watakubali kuasi hali yao ya maisha na kukumbatia mabadiliko. Haya ni kwa […]
-
JAMII MOJA NAKWIYEN YAHITAJI ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 1 KWA UPASUAJI WA MOYO WA MWANAO.
Jamii moja eneo la Nakwiyen eneo bunge la Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi inatoa wito kwa wahisani kujitokeza na kusaidia katika matibabu ya mwanao anayehitaji upasuaji wa moyo. Kulingana […]
Top News








