Author: Charles Adika
-
WAZAZI WATAKIWA KUWATUNZA VYEMA WANAO WANAPOREJEA NYUMBANI KWA LIKIZO.
Wanafunzi wanaporejea nyumbani kwa likizo baada ya kukamilika muhula wa pili, miito imeendelea kutolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kutekeleza kikamilifu majukumu yao ya ulezi kuhakikisha wanafunzi wanasalia […]
-
MASTALUK: NITAWEKA NGUVU ZANGU ZOTE KWENYE SEKTA YA ELIMU KATIKA HIMAYA YANGU.
Mwakilishi wadi ya Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Richard Mastaluk amesema kwamba atawekeza kikamilifu katika swala la elimu ili kuhakikisha kwamba sekta ya elimu inaimarishwa katika wadi hiyo. Mastaluk alisema […]
-
MOROTO ATAKA SERIKALI YA KENYA KWANZA KUPEWA MUDA WA KUREKEBISHA MAKOSA YALIYOSABABISHWA NA SERIKALI ILIYOTANGULIA.
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto ametofautiana na ripoti za hivi karibuni kwamba taifa haliekei kwenye mkondo bora. Akizungumza na wanahabari, Moroto alisema kwamba rais William […]
Top News








