Author: Charles Adika
-
SERIKALI YATAKIWA KUENDELEZA MPANGO WA LISHE SHULENI ILI KUKABILI UTAPIA MLO NA KUWAVUTIA WANAFUNZI SHULENI, SARMACH.
Visa vya utapiamlo vimekithiri eneo la Sarmach eneo bunge la Sigor kaunti ya Pokot magharibi kufuatia baa la njaa ambalo linawakabili wakazi wengi wa eneo hilo. Haya ni kulingana na […]
-
DARA YA AFYA POKOT MAGHARIBI YAELEZEA WASI WASI KUHUSU ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA HIV MIONGONI MWA VIJANA.
Takwimu zinaonyesha kwamba kuna ongezeko la maambukizi ya virusi vya HIV hasa miongoni mwa vijana katika kaunti ya Pokot magharibi. Kulingana na mshirikishi wa maswala ya HIV na magonjwa ya […]
-
SHIRIKA LA NRT, POKOT MAGHARIBI LAHIMIZA HAJA YA JAMII KUELIMISHWA KUHUSU ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Mkurugenzi wa shirika la NRT kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa Rebecca Kochulem ameelezea haja ya jamii kuhamasishwa kuhusiana athari za mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza jumatatu baada ya […]
Top News








