Author: Charles Adika
-
IDARA YA USALAMA KIPKOMO YAONYA VIKALI DHIDI YA BIASHARA YA MIHADARATI NA POMBE HARAMU.
Idara ya usalama eneo la Kipkomo eneo bunge la Pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi imeapa kukabili biashara ya mihadarati eneo hilo kuhakikisha kwamba inamalizwa kabisa. Hii ni baada ya […]
-
SERIKALI YAENDELEZA ZOEZI LA KUSAMBAZA CHAKULA SHULENI MHULA WA TATU UNAPOTARAJIWA KUAZA RASMI.
Shule mbali mbali za msingi eneo la Kipkomo katika kaunti ya Pokot magharibi zimepokea chakula kutoka kwa serikali ya kitaifa kupitia mpango wa lishe shuleni, shule zinapotarajiwa kufunguliwa juma lijalo […]
-
IDARA YA USALAMA POKOT YA KATI YAKANA KUTUMIA NGUVU KUPITA KIASI KATIKA OPARESHENI ZA KIUSALAMA.
Idara ya usalama eneo la Pokot ya kati katika kaunti ya Pokot magharibi imepuuzilia mbali madai kwamba inatumia nguvu kupita kiasi wakati inapoendeleza oparesheni ya kukabili wahalifu ambao wanasababisha utovu […]
Top News







