Author: Charles Adika
-
KINDIKI ATARAJIWA KUZURU POKOT MAGHARIBI HUKU VISA VYA UVAMIZI VIKITAJWA KUPUNGUA.
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki anapotarajiwa kurejea katika kaunti ya Pokot magharibi kutathmini hali ya usalama hasa maeneo ya mipakani, wakazi wa kaunti […]
-
WAZAZI WALAUMIWA KWA KUKITHIRI MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WANAFUNZI POKOT MAGHARIBI.
Katibu wa chama cha walimu nchini KNUT tawi la kaunti ya Pokot magharibi Martine Sembelo amewalaumu pakubwa wazazi kufuatia ongezeko la mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi kaunti hiyo. Akizungumza […]
-
POKOT MAGHARIBI YAORODHESHWA MIONGONI MWA KAUNTI ZILIZO NA VISA VINGI VYA UGONJWA WA KIFUA KIKUU.
Takwimu zinaonyesha kwamba kaunti ya Pokot magharibi ni moja ya kaunti ambazo zinaongoza nchini kwa visa vya wanaougua ugonjwa wa kifua kikuu. Mkurugenzi wa shirika la QuadExcel Research Training and […]
-
BARAZA LA WAZEE POKOT MAGHARIBI LAPONGEZA KUACHILIWA MIFUGO WALIOKUWA WAMEZUILIWA UGANDA.
Mwenyekiti wa baraza la wazee eneo la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi Mastayit Lokales amepongeza hatua ya maafisa wa polisi wa taifa jirani la Uganda kuwaachilia mifugo wa wakazi […]
Top News









