Author: Charles Adika
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA USAWA KATIKA OPARESHENI YA KUWAKABILI WAHALIFU BONDE LA KERIO.
Mbunge wa pokot kusini David Pkosing ameendeleza shinikizo kwa waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki kuwaajiri maafisa wa akiba NPR katika kaunti ya Pokot […]
-
MKAGUZI WA BAJETI AAHIDI KUFUATILIA MIRADI AMBAYO INATEKELEZWA KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakango yuko kaunti ya Pokot magharibi katika shughuli ya kukagua jinsi ambavyo serikali ya kaunti hiyo inaendeleza miradi mbali mbali na jinsi ambavyo fedha zimetumika katika […]
-
DUALE: VIKOSI VYA KDF VITAKITA KAMBI BONDE LA KERIO HADI UHALIFU UMALIZIKE.
Waziri wa ulinzi Aden Duale amesema kuwa maafisa wa kikosi cha ulinzi KDF hawataondolewa kwenye eneo la Kerio valley hadi wahalifu watakapokabiliwa. Akiongea kwenye ziara yake katika baadhi ya maeneo […]
-
WADAU WATAKIWA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA WATOTO WOTE WANAHUDHURIA MASOMO POKOT MAGHARIBI.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana na idara ya elimu katika kuhakikisha kwamba kila mtoto aliye katika umri wa kwenda shule anahudhuria masomo. Akizungumza afisini […]
-
KINDIKI ATARAJIWA KUZURU POKOT MAGHARIBI HUKU VISA VYA UVAMIZI VIKITAJWA KUPUNGUA.
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki anapotarajiwa kurejea katika kaunti ya Pokot magharibi kutathmini hali ya usalama hasa maeneo ya mipakani, wakazi wa kaunti […]
Top News









