Author: Charles Adika
-
MITIHANI YA KCSE YAANZA HUKU MIKAKATI IKIWEKWA KUHAKIKISHA USALAMA WA WATAHIWA POKOT MAGHARIBI.
Mikakati yote imewekwa kuhakikisha kwamba mitihani ya kitaifa kwa kidato cha nne KCSE ambayo imezanza jumatatu inafanyika na kukamilika vyema katika kaunti ya Pokot magharibi. Katika kikao na wanahabari kabla […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI APONGEZWA KWA KUORODHESHWA WA TATU NCHINI KATIKA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI.
Wadau mbali mbali kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kupongeza hatua ya kuorodheshwa gavana Simon Kachapin katika nafasi ya tatu katika ripoti iliyotolewa na kampuni ya utafiti ya Infortrack kuhusiana na […]
-
POGHISIO AWAHIMIZA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI KUWEKA MIKAKATI ITAKAYOWAHAKIKISHIA WAKAZI USALAMA.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amelalamikia uvamizi wa mara kwa mara ambao umeendelea kushuhudiwa mipakani pa kaunti hiyo licha ya oparesheni ya kiusalama ambayo inaendelezwa na […]
-
IDARA YA MIPANGO NA MAENDELEO YAENDELEZA VIKAO VYA KUKUSANYA MAONI KUHUSU BAJETI.
Maafisa kutoka idara ya mipango na maendeleo katika serikali kuu wamezuru kaunti ya Pokot magharibi kupokea maoni ya wananchi katika vikao ambavyo inaendelezwa katika ngazi za kaunti kwa lengo la […]
-
MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YATAJWA KUWA CHANZO KIKUU CHA MAGONJWA YA AKILI POKOT MAGHARIBI.
Idadi kubwa ya visa vya ugonjwa wa akili miongoni mwa vijana husababishwa na matumizi ya dawa za kulevya. Haya ni kwa mujibu wa daktari mkuu katika hospitali ya rufaa ya […]
Top News










