Author: Charles Adika
-
VIONGOZI WA UDA POKOT MAGHARIBI WAPONGEZA HATUA YA KUAHIRISHWA UCHAGUZI WA CHAMA MASHINANI.
Viongozi wa chama cha UDA kaunti ya Pokot magharibi wameunga mkono hatua ya kuahirishwa uchaguzi wa mashinani wa chama hicho ambao ulikuwa umeratibiwa kuandaliwa tarehe 9 mwezi desemba hadi mwezi […]
-
WAFUGAJI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTOKOMEZA UGONJWA WA MIGUU NA MIDOMO.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia wizara ya kilimo imekeriri kujitolea kuhakikisha kwamba inamaliza ugonjwa wa mifugo wa miguu na midomo, ikitoa wito kwa wafugaji kushirikiana nayo katika juhudi […]
Top News







