Author: Charles Adika
-
SHIRIKA LA DNDI LAANZA KAMBI YA MATIBABU KWA MAGONJWA YALIYOSAHAULIKA POKOT MAGHARIBI.
Shirika la Drugs for Neglected diseases initiative DNDI limeandaa kambi ya matibabu katika shule ya msingi ya St. Comboni Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi kuangazia magonjwa yaliyosahaulika kama vile kala […]
-
WANANCHI WATAKIWA KUIPA MUDA SERIKALI INAPOFANYIA MAGEUZI IDARA YA AFYA.
Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni ametoa wito kwa wakazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuipa muda idara ya afya kutokana na mageuzi ambayo yanafanyika kwenye idara hiyo hasa […]
-
IDARA YA POLISI POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MSAKO WA WAHALIFU WALIOWAUA WATU WATATU KAPLON.
Kamanda wa polisi kaunti ya Pokot magharibi Peter Katama ameshutumu vikali mauaji ya watu watatu wakazi wa eneo la Kaplon pokot kaskazini, mauaji ambayo yanakisiwa kutekelezwa na wahalifu wanaoaminika kutoka […]
-
WAHUDUMU WA AFYA CHPs POKOT MAGHARIBI WAPOKEZWA VIFAA VYA KURAHISISHA SHUGHULI ZAO MASHINANI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza serikali kuu kupitia wizara ya afya kwa kuwapokeza wahudumu wa afya wa nyanjani CHPs vifaa ambavyo watatumia katika kutekeleza shughuli zao […]
Top News








