Tag: West Pokot
-
Kaunti ya Turkana yamulikwa kwa kutosalimisha silaha haramu
Na Benson Aswani,Takriban silaha alfu moja zinazomilikiwa kinyume cha sheria kanda ya kaskazini mwa bonde la ufa zimesalimishwa kufikia sasa kutokana na agizo la serikali, kama njia moja ya kukabili […]
-
Wafanyikazi wa CICO Pokot Magharibi wagoma kulalamikia malipo duni
Na Benson Aswani,Wafanyikazi wa kampuni ya kutengeneza barabara ya CICO wanaohudumu kwenye barabara ya Kitale-Lodwar eneo la Murpus kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kunyanyaswa na kampuni hiyo wakidai kukiukwa haki […]
-
Poghisio ataka kuimarishwa usalama mipakani, mitihani ya KCSE ikiendelea
Na Benson Aswani,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ameendelea kutoa wito kwa wakazi wa maeneo ya mipakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana ambako kumeshuhudiwa […]
-
Uchimbaji madini watajwa kuwa chanzo cha utovu wa usalama mipakani pa Pokot Magharibi na Turkana
Na Benson Aswani,Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi sasa wanadai kwamba shughuli ya uchimbaji madini hasa maeneo ya mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya […]
-
Viongozi washutumu kuchipuka tena utovu wa usalama mipakani pa Pokot na Turkana
Na Benson Aswani,Viongozi kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu visa vya mauaji ambavyo vimeshuhudiwa mipakani pa kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana katika siku za hivi karibuni. Wa hivi […]
Top News









