News
-
MBUNGE WA SABOTI ATAKA KUBUNIWE HAZINA YA USTAWISHAJI MAENEO YA WADI.
Mbunge wa Saboti katika kaunti ya Trans nzoia Caleb Amisi amesema kwamba atahakikisha waakilishi wadi wanapokea fedha za ustawishaji maeneo wadi kutoka kwa serikali ya kaunti katika juhudi za kuhakikisha […]
-
WAKULIMA WA ZAO LA MAHINDI WASHABIKIA HATUA YA SERIKALI KUSITISHA MIPANGO YA KUAGIZA MAHINDI KUTOKA NJE YA NCHI.
Wakulima na viongozi kaskazini mwa bonde la ufa wamesifia hatua ya serikali kusitisha uagizaji wa mahindi kutoka mataifa ya kigeni wakisema hatua hiyo itawapa fursa ya kuuza mahindi yao kwa […]
-
WADAU WAELEZEA WASI WASI WA ONGEZEKO LA MAAMBUKIZI YA HIV MIONGONI MWA VIJANA POKOT MAGHARIBI.
Huenda maambukizi ya virusi vya ukimwi katika kaunti ya Pokot magharibi vikawa juu kutokana na hali kwamba wengi wa wakazi wanaougua virusi hivyo hawajitokezi kupimwa kufahamu hali yao. Akizungumza katika […]
-
HALI YA USALAMA MIPAKANI YAZIDI KUWAKEKETA MAINI VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Aliyekuwa mwakilishi wadi ya Masol eneo bunge la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Ariong’o Loporna amezitaka asasi za usalama kuimarisha usalama maeneo ya mipakani pa kaunti hii ya Pokot […]
-
WAKAZI POKOT KUSINI WALALAMIKIA HALI MBOVU YA BARABARA.
Kama njia moja ya kuimarisha uchumi wa wakazi wa wadi ya Chepareria Eneo bunge la Pokot Kusini kaunti ya Pokot magharibi, kuna haja ya Serikali kuu kukarabati nyingi za barabara […]
-
MWAMKO MPYA KWA ELIMU NA DINI KERIO VALLEY.
Kunashuhudiwa mwamko mpya eneo la bonde la kerio baada ya shirika la Christian impact Mission, serikali na wadau wengine pamoja na wakazi kuanza kuinua elimu na dini kwenye eneo hilo […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUWA MAKINI NA WANAO WAKATI HUU WA LIKIZO NDEFU.
Wazazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa waangalifu na wanao hasa wakati huu ambapo wanafunzi wapo nyumbani kwa likizo ndefu ya mwezi desemba.Ni wito wake mshirikishi wa baraza […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUNUNUA MAHINDI NORTHRIFT NA KUWAPELEKEA WANAOKABILIWA NA MAKALI YA NJAA.
Kanisa la Kianglikana Diosisi ya Kitale kaunti ya Trans nzoia limetoa wito kwa serikali kuingilia kati kwa haraka na kusaidia kwa kuwapa chakula waathiriwa wa baa la njaa na kiangazi […]
-
VISA VYA MIMBA MIONGONI MWA WATAHINIWA WA KIKE VYAENDELEA KURIPOTIWA.
Jumla ya watahiniwa 87 walipachikwa mimba katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Kulingana na wizara ya Elimu Kaunti ya Pokot Magharibi, darasa la nane linaongoza kwa idadi ya waliopachikwa mimba ikiwa […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUZINDUA ZOEZI LA KUWACHANJA MIFUGO.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin anatarajiwa kuongoza shughuli ya mwezi mmoja ya kuchanja mifugo ambayo inatarajiwa kuanza tarehe 8 mwezi Desemba. Akizungunza na wanahabari Kachapin alisema kwamba […]
Top News










