News
-
SERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA MASHIRIKA YASIYO YA SERIKALI KUIMARISHA MAISHA YA WAKAZI POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi itatenga fedha zaidi katika kipindi cha fedha kijacho ili kuimarisha shughuli za makundi mbali mbali ya wafanyibiashara wa viwango vya chini hasa maeneo ya […]
-
TSC YASHUTUMU VISA VYA UVAMIZI DHIDI YA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Tume ya huduma kwa walimu TSC imeshutumu vikali visa vya uvamizi dhidi ya walimu katika kaunti ya Pokot magharibi ambavyo vimeripotiwa kukithiri.Akirejelea kisa cha hivi majuzi cha kuvamiwa mwalimu mkuu […]
-
SHUGHULI ZA MASHIRIKA YASIYO YA SERIKALI ZAANZA KUZAA MATUNDA POKOT MAGHARIBI.
Miradi ya kilimo ambayo ilianzishwa katika kaunti ya Pokot magharibi na mashirika yasiyo ya serikali kuanzia mwaka 2020 ikiwemo ile ya unyunyiziaji maji mashamba na kuhusisha makundi mbali mbali ya […]
-
SERIKALI YASUTWA KWA KUVUNJA SHERIA KATIKA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Polisi kwa ushirikiano na kikosi cha maafisa wa jeshi wakiendelea na oparesheni ya kuondoa silaha zinazomilikiwa kinyume cha sheria pamoja na kuhakikisha wanakabiliana na wezi wa mifugo katika bonde la […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEA DAWA ZA KIMA CHA SHILINGI MILIONI 43 KUTOKA KEMSA.
Shirika la kusambaza dawa na vifaa vya matibabu KEMSA limeipokeza kaunti ya Pokot magharibi dawa za kima cha shilingi milioni 43 huku likiahidi kusambaza kiwango kilichosalia kabla ya mwisho wa […]
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUTILIA MAANANI ELIMU KUWA SULUHU KWA UTOVU WA USALAMA.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi kukumbatia elimu kwa ajili ya wanao na kuhakikisha kwamba wanasalia shuleni kwa kuwajibikia mahitaji yote kwa manufaa yao ya siku za […]
-
WAAKILISHI WADI POKOT MAGHARIBI WAKOSOA OPARESHENI YA KIUSALAMA.
Waakilishi wadi katika kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia jinsi serikali inavyoshughulikia swala la utovu wa usalama katika kaunti za bonde la Kerio, wakisema kwamba ipo njia bora na salama inayoweza […]
-
PKOSING AKAMATWA NA KUHOJIWA NA DCI KUHUSU UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mbunge wa Pokot kusini David Pkosing alikamatwa alhamisi jioni na kuhojiwa kwa muda na idara ya upelelezi DCI kabla ya kuachiliwa huru kufuatia madai ya kutoa semi zinazodaiwa kuchochea uhasama […]
-
WAKAZI MASOL WALALAMIKA KUATHIRIKA NA AMRI YA KUTOKUWA NJE.
Aliyekuwa mwakilishi wadi ya Masol eneo bunge la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Ariong’o Loporna amelalamikia utekelezwaji wa amri ya kutokuwa nje kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi […]
-
WALIMU WAONYWA DHIDI YA KUWASAJILI WANAFUNZI WA GREDI YA SITA KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA NANE KCPE.
Idara ya elimu eneo la Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi imewaonya vikali wazazi na walimu wakuu wa shule mbali mbali dhidi ya kuwasajili wanafunzi waliofanya mtihani wa gredi […]
Top News









