News
-
WAZAZI BONDE LA KERIO WATAKIWA ‘KUMKUNJA SAMAKI ANGALI MBICHI’ KATIKA KUKABILI TATIZO LA USALAMA.
Ipo haja kwa wazazi katika kaunti za bonde la kerio kuwa karibu na wanao hasa wa kiume kuanzia umri wao mdogo na kuwapa mwelekeo kuhusiana na hali ya maisha pamoja […]
-
MADHARA YA MVUA YAANZA KUSHUHUDIWA, WAFANYIBIASHARA WAKIKADIRIA HASARA ORTUM.
Wafanyibiashara katika soko la Ortum kaunti ya Pokot mgharibi wanakadiria hasara kufuatia maporomoko ya ardhi ambayo yalikumba soko hilo na kuharibu mijengo pamoja na barabara kutokana na mvua kubwa ambayo […]
-
WAKAZI WA MOSESWO, KANGILKWAN WAKADIRIA HASARA YA MIFUGO KUFUATIA MKURUPUKO WA UGONJWA USIOJULIKANA.
Wakazi wa kijiji cha Moseswo, kangilkwan wadi ya mnagei eneo bunge la Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito kwa maafisa wa idara ya mifugo kufika eneo hilo kubaini […]
-
GAVANA KACHAPIN ATETEA TEUZI ZA RAIS RUTO ZA MAKATIBU WAKUU WA UTAWALA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametofautiana na viongozi ambao wanamkosoa rais William Ruto kufuatia uteuzi wa makatibu wa utawala kwa madai ya kuongeza mzigo kwa mlipa ushuru […]
-
WADAU WATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA MIONGONI MWA VIJANA KACHELIBA.
Ipo haja kwa wadau mbali mbali kaunti ya Pokot magharibi kujitokeza na kubuni mikakati ya kukabiliana na matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana. Ni wito wake askofu wa kanisa la […]
-
RAILA ASUTWA VIKALI KWA KUWA ‘KISIRANI’ KWA SERIKALI ZA HAPA NCHINI.
Viongozi wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wameendelea kumsuta kinara wa chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga kwa kuendeleza maandamano dhidi ya serikali ya rais William […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUKOMA KUWAHANGAISHA WAFANYIBIASHARA POKOT MAGHARIBI.
Chama cha wafanyibiashara chamber of commerce kaunti ya Pokot magharibi kimetoa wito kwa serikali ya kaunti kushirikiana vyema na wafanyibiashara na kutowadhulumu katika shughuli zao za kila siku. Mwenyekiti wa […]
-
UKAME UNAOSHUHUDIWA POKOT KASKAZINI WATAJWA KUWA CHANZO CHA NDOA ZA MAPEMA.
Swala la ndoa za mapema na ukeketaji miongoni mwa watoto wa kike limesalia kuwa changamoto kuu kwa elimu ya mtoto wa kike katika kaunti ya Pokot magharibi eneo la pokot […]
-
AFISA WA JESHI MUSTAAFU ATAKA MBINU YA KUWAKABILI MAJANGILI KUBADILISHWA.
Wadau mbali mbali katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kukosoa mbinu ambayo inatumika na serikali kukabili utovu wa usalama ambao umekuwa ukishuhudiwa hasa katika kaunti 6 za kaskazini mwa bonde […]
Top News










