News
-
SHINIKIZO ZA KUBUNIWA KAUNTI MPYA YA POKOT MASHARIKI ZAENDELEA KUSHIKA KASI.
Shinikizo zimeendelea kutolewa na wakazi wa jamii ya Pokot ya kubuniwa kaunti mpya ya pokot mashariki eneo la Tiati ili kuhakikisha kwamba jamii ya pokot inayoishi eneo hilo wanapata huduma […]
-
MLINZI WA KENGEN AUGUZA MAJERAHA KWA KUVAMIWA NA WAHALIFU LOROGON.
Mkazi mmoja wa kutoka eneo la Lorogon kaunti ya Pokot magharibi anauguza majeraha katika hospitali ya kapenguria baada ya kupigwa risasi na wavamizi wanaoshukiwa kutoka kaunti jirani jumanne usiku. Kulingana […]
-
WAKAZI WA JAMII YA POKOT ENEO LA TIATI WASHINIKIZA KUBUNIWA KAUNTI YAO.
Viongozi kutoka jamii ya Pokot kaunti ya Baringo wameunga mkono pendekezo la kuongezwa idadi ya kaunti nchini wakidai kwamba hali hiyo itapelekea huduma sawa kwa jamii zote. Wakizungmza eneo la […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUWA KARIBU NA WANAO SHULE ZINAPOTARAJIWA KUFUNGWA .
Muhula wa tatu unapokaribia kukamilika miito imeanza kutolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuwatunza vyema wanao katika muda wa takriban miezi miwili watakayokuwa nyumbani baada ya shule kufungwa. […]
-
SHULE YA MSINGI YA KOPOCH YANUFAIKA NA CHAKULA KUTOKA AFISI YA MKEWE RAIS.
Shule ya msingi ya Kopoch eneo bunge la kapenguria kaunti ya Pokot magharibi imepokea chakula kutoka kwa afisi ya mkewe rais Rachael Ruto chini ya mpango wa mama doing good […]
-
ZOEZI LA KUWASAJILI WAKULIMA POKOT MAGHARIBI LATARAJIWA HUKU WAKULIMA WAKITAKIWA KUJITOKEZA KATIKA ZOEZI HILO.
Waziri wa kilimo, mifugo, uvuvi na unyunyiziaji maji mashamba kaunti ya Pokot magharibi Wilfred Longronyang ametoa wito kwa wakulima kujitokeza ili kusajiliwa katika zoezi la usajili wa wakulima ambalo linatarajiwa […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba inapata mapato kupitia utalii. Akizungumza eneo la Keringet wakati wa kuadhimisha siku ya utalii duniani, waziri wa utalii, […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU.
Huduma za afya zinatarajiwa kuimarika kaunti ya Pokot magharibi baada wizara ya afya kaunti hiyo kupokea shehena ya kwanza ya vifaa vya matibabu vitakavyotumika na wahudumu wa afya maeneo ya […]
-
JAMII YATAKIWA KUKUMBATIA MBINU ZA UPANGAJI UZAZI ILI KUKUZA KIZAZI CHENYE AFYA.
Ipo haja ya jamii kukumbatia mbinu za upangaji uzazi ili kukuza kizazi chenye afya hasa hali ya maisha inapoendelea kubadilika kila kuchao kufuatia kupanda kwa gharama ya maisha. Akizungumza eneo […]
-
IDARA YA POLISI POKOT MAGHARIBI YAAPA KUKABILIANA NA WALANGUZI WA RISASI.
Kamanda wa polisi kaunti ya Pokot magharibi Peter Katam amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kwamba idara ya polisi imeweka mikakati ya kuhakikisha wafanyibiashara waneoendeleza biashara haramu ya uuzaji risasi wanakabiliwa. […]
Top News










