News
-
OCS WA KONGELAI ASUTWA KWA KUWA KIKWAZO KATIKA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA USALAMA WA WAKAZI.
Mzee wa kijiji cha Simotwo eneo la Kongelai kaunti ya Pokot magharibi Johnson Lodepa ameelezea wasi wasi kuhusiana na usalama wa eneo hilo kutokana na kuwepo kundi la vijana ambao […]
-
MACHIFU WALAUMIWA KWA KUTUMIA NGUVU KUPITA KIASI KUKABILI UGEMAJI WA POMBE HARAMU POKOT MAGHARIBI.
Familia moja eneo la Kambi chafu katika kaunti ya Pokot magharibi inalilia haki kufuatia kisa cha kujeruhiwa mama yao baada ya kudaiwa kuvamiwa na chifu wa eneo hilo. Wakiongozwa na […]
-
WADAU WASHINIKIZA KUFUNZWA LUGHA ZA MAMA SHULENI.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia mafunzo ya lugha ya mama shuleni. Ni wito wake mwanzilishi wa shule ya the Cranes Esther Serem ambaye alisema […]
-
GHARAMA YA MAISHA YAENDELEA KUKEKETA MAINI YA WAKENYA MAENEO MBALI MBALI.
Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia uongozi wa rais William Ruto wanaosema kwamba umepelekea kupanda maradufu gharama ya maisha nchini tangu alipoingia uongozini. Wakizungumza baada ya […]
-
TSC YAKIRI KUWEPO UPUNGUFU MKUBWA WA WALIMU KATIKA SHULE ZA MASHINANI POKOT MAGHARIBI.
Shule za maeneo ya mashinani kaunti ya Pokot magharibi zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu kutokana na hatua ya serikali kusitisha utekelezwaji wa sera ya kuwataka walimu kufunza mbali na […]
-
UBALOZI WA UHOLANZI WAIMARISHA MIKAKATI YA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Balozi wa uholanzi nchini Maarten Brouwer amefanya kikao na gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin kuangazia jinsi ambavyo serikali ya kaunti hiyo itashirikiana na taifa hilo katika maswala […]
-
PKOSING ASUTWA VIKALI KWA KUENDELEZA SHINIKIZO LA KUMBANDUA RAIS MAMLAKANI.
Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuunga mkono kikamilifu uongozi wa rais William Ruto na kupuuza miito ya viongozi wa upinzani kuhusu kuandaliwa maandamano na kukusanya saini za kumbandua […]
-
VIONGOZI WA KENYA KWANZA WAKASHIFU MAANDAMANO YA MRENGO WA AZIMIO.
Viongozi wa kaunti ya Pokot magharibi wanaoegemea mrengo wa Kenya kwanza wameshutumu vikali maandamano yaliyoendeshwa na mrengo wa azimio katika kuadhimisha siku ya sabasaba ijumaa iliyopita kuishinikiza serikali kupunguza gharama […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIPA KIPAU MBELE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KATIKA USAJILI WA WALIMU.
Serikali imetakiwa kuwekeza zaidi katika elimu kaunti ya Pokot magharibi ili kuiwezesha kufikia viwango vya kaunti zingine nchini ikizingatiwa ilisalia nyuma zaidi kwa kipindi kirefu. Wakiongozwa na mwenyekiti wa bodi […]
-
UHABA WA LISHE NA MAJI KWA MIFUGO WATAJWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Mizozo mingi ambayo imekuwa ikishuhudiwa maeneo ya mipakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani za Elgeyo marakwet na Turkana na kupelekea hali ya utovu wa usalama inatokana […]
Top News