News
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAISUTA SERIKALI KWA KUWAHANGAISHA WAKAZI WA ARDHI YA CHEPCHOINA.
Na Emmanuel Oyasi. Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameisuta serikali ya Kenya kwanza kwa kutokuwa makini katika kushughulikia masaibu ambayo yanawakumba wakazi waliofurishwa katika ardhi yenye utata […]
-
MAAFISA WA NPR WATAKIWA KUKAZA KAMBA KATIKA VITA DHIDI YA UHALIFU MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani. Afisa wa mipango maalum katika afisi ya gavana kaunti ya Pokot magharibi David Chepelion ametoa wito kwa maafisa wa akiba NPR wanaohudumu maeneo yanayokabiliwa na utovu wa […]
-
PKOSING ATAKIWA KUTANGAZA MSIMAMO WAKE WA KISIASA NA KUKOMA KUTAPATAPA.
Na Benson Aswani. Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong anamtaka mwezake wa pokot kusini David Pkosing kutangaza rasmi msimamo wake wa kisiasa na kukoma kuwachanganya wakazi wa […]
-
WAKAZI WA MASOL POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA MAKALI YA NJAA.
Na Emmanuel Oyasi. Wakazi wa eneo la Masol Pokot ya kati kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito kwa serikali kusambaza chakula cha msaada eneo hilo kutokana na hali kwamba wengi […]
-
VIONGOZI WA POKOT YA KATI WASHINIKIZA MAENDELEO KAMA NJIA MOJA YA KUKABILI UTOVU WA USALAMA.
Na Benson Aswani. Mbunge wa sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ametoa wito kwa wakazi wa eneo hilo hasa wanaoishi maeneo ya mipakani na kaunti ya Turkana kujitenga […]
-
IDARA YA USALAMA POKOT KUSINI YALENGA KUPIGA MARUFUKU BIASHARA YA POMBE NA MICHEZO YA ‘POOL’.
Na Emmanuel Oyasi. Idara ya usalama eneo la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi inaendeleza vikao vya kutafuta maoni ya wakazi wa eneo hilo kuhusu biashara ya pombe na michezo […]
-
MAMLAKA YA MAJANGA YAIKABIDHI SHULE YA UPILI YA KIWAWA MAGODORO 30 BAADA YA BWENI LA SHULE HIYO KUTEKETEA.
Na Benson Aswani. Maafisa kutoka idara inayoshughulikia majanga katika kaunti ya Pokot magharibi wamezuru shule ya upili ya wavulana ya Kiwawa eneo la Kacheliba kutathmini uharibifu uliosababishwa na moto ambao […]
-
BAADHI YA WANAFUNZI WAKOSA KURIPOTI KATIKA SHULE ZA UPILI POKOT MAGHARIBI LICHA YA MPITO WA ASILIMIA 100.
Na Emmanuel Oyasi. Baadhi ya wanafunzi eneo la Weiwei pokot ya kati katika kaunti ya Pokot magharibi hawajaripoti katika shule za upili ambazo waliitwa licha ya juhudi za serikali kuhakikisha […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA SHULE ZA MIPAKANI KUPEWA KIPAU MBELE KWA MGAO WA BASARI.
Na Benson Aswani. Viongozi wa maeneo ya mipakani katika kaunti ya Pokot magharibi ambako kumekuwa kukishuhudiwa utovu wa usalama wametoa wito kwa gavana wa kaunti Simon Kachapin kutoa fedha za […]
-
KUFUNGULIWA KANISA LA ELCK DAYOSISI YA KERIO VALLEY KWATAJWA KUWA HATUA KUFIKIA SULUHU KWA UTOVU WA USALAMA MAENEO YA MIPAKANI.
Na Benson Aswani. Swala la utovu wa usalama katika bonde la kerio lilitawala hafla ya kutawazwa rasmi kwa askofu mpya wa kanisa la ELCK dayosisi ya kerio valley ambayo iliandaliwa […]
Top News










