News
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATISHIA KUMBANDUA KINDIKI AFISINI.
Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto na mwenzake wa Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee wamesuta hatua ya kuagizwa kuandikisha taarifa na idara ya DCI jijini Nakuru kufuatia swala […]
-
BIASHARA YA MAKAA YAKABILIWA POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani. Afisa mkuu katika wizara ya maji, mazingira, mali asili na tabia nchi kaunti ya Pokot magharibi Leonard Kamsait amewapongeza wafanyibiashara wanaoendesha biashara ya kuuza makaa kwa kukumbatia […]
-
KOMOLE AAPA KUTONYAMAZISHWA NA MAAGIZO YA KUANDIKISHA TAARIFA NA DCI KUHUSU USALAMA BONDE LA KERIO.
Na Emmanuel Oyasi. Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ameshutumu hatua ya kuagizwa kuandikisha taarifa katika makao makuu ya DCI mjini Nakuru wiki jana kufuatia swala zima la […]
-
NAIBU GAVANA POKOT MAGHARIBI AANDIKISHA TAARIFA NA IDARA YA DCI KWA MADAI YA UCHOCHEZI
Na Emmanuel oyasi. Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameisuta serikali ya rais William Ruto kwa kile wamedai kuwahangaisha viongozi wa kaunti hiyo. Hii ni baada ya naibu gavana Robert […]
-
IDADI KUBWA YA WANAFUNZI WALIOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA YAPELEKEA UHABA WA MIUNDO MSINGI KATIKA SHULE MBALI MBALI
Na Benson Aswani. Uongozi wa shule ya upili ya wasichana ya St. Bakhita Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi umetoa wito kwa wahisani kujitokeza na kutoa ufadhili ambao utahakikisha kwamba […]
-
KUPPET YAIONYA TSC KUHUSU SHULE ZA UPILI ZISIZO NA WALIMU WAKUU POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani. Tume ya huduma kwa walimu nchini TSC imetakiwa kuharakisha mchakato wa kuwatuma walimu wakuu katika shule za upili ambazo hazina wakuu hao katika kaunti ya Pokot magharibi. […]
-
WATU WAWILI WADAIWA KUPIGWA RISASI NA KUJERUHIWA SARMACH NA MAAFISA WA KDF.
Na Emmanuel Oyasi. Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong amelaani vikali kisa cha kujeruhiwa wakazi wawili waliokuwa wakilisha mifugo wao eneo la Sarmach kwa madai ya kukabiliwa […]
-
WALIMU WAKUU WAONYWA DHIDI YA KUWATUMA NYUMBANI WANAFUNZI KUTAFUTA KARO.
Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET tawi la Pokot magharibi kimetoa wito kwa walimu wakuu kutowatuma nyumbani wanafunzi kutafuta karo. Akizungumza afisini mwake katibu […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI UKEKETAJI POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wadau katika kaunti ya Pokot magharibi kushirikiana na serikali ya gavana Simon Kachapin katika vita dhidi ya utamaduni wa ukeketaji ambao umetajwa kuwa kizingiziti kikubwa kwa elimu […]
-
MOROTO ATAKA SERIKALI YA KAUNTI KUIMARISHA HOSPITALI ZA MAENEO YA MASHINANI.
Na Benson Aswani. Mbunge wa Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto ametoa wito kwa serikali ya kaunti chini ya gavana Simon Kachapin kuhakikisha kwamba hospitali na vituo vya […]
Top News










