News
-
WATAHINIWA WA MITIHANI YA KITAIFA POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KATIKA KIPINDI HICHO CHA MITIHANI.
Mitihani ya kitaifa kwa kidato cha nne KCSE, darasa la Nane KCPE na gredi ya sita KPSEA inapotarajiwa kuanza rasmi jumatatu wiki ijayo, kamishina wa kaunti ya Pokot magharibi Apolo […]
-
LONYANGAPUO AWASUTA VIONGOZI WANAOENDELEZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amelalamikia hatua ya baadhi ya viongozi ambao alisema kwamba wameanza kuendeleza kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 mwaka mmoja tu […]
-
WAKAZI SIGOR WATAKIWA KUTOKUBALI KUHADAIWA NA VIONGOZI WANAOLENGA KULETA UHASAMA MIONGONI MWAO.
Mbunge wa Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong amewasuta baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti hiyo ambao alidai kwamba wanaeneza propaganda ambazo huenda zikachochea uhasama miongoni mwa wananchi. […]
-
HAFLA ZA MICHANGO KACHELIBA ZAPIGWA MARUFUKU HADI ITAKAPOKALIMIKA MITIHANI YA KITAIFA.
Idara ya usalama eneo la Kacheliba kaunti ya Pokot magharibi imepiga marufuku mikutano ya michango ya silk eneo hilo hadi itakapokamilika mitihani ya kitaifa hasa wa darasa la nane ambao […]
-
KACHAPIN: MAONYESHO YA KILIMO YATATUMIKA KUBADILI SURA YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI MACHONI PA ULIMWENGU.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amesema maonyesho ya kilimo ambayo yanatarajiwa kuandaliwa katika uwanja wa maonyesho ya kilimo wa Kishaunet kaunti hiyo yatatumika kudhihirishia ulimwengu kwamba kaunti […]
-
MOROTO ASHINIKIZA HAKI KWA WAKAZI WALIOFURUSHWA KWENYE ARDHI YA CHEPCHOINA.
Mbunge wa Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto ameendelea kushutumu hatua ya kufurushwa wakazi wanaoishi katika ardhi yenye utata ya chepchoina mpakani pa kaunti hiyoi na kaunti jirani ya […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAENDELEZA MIKAKATI YA KULETA UTANGAMANO BAINA YA JAMII ZA POKOT NA SEBEI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameelezea mikakati ambayo wanaendelea kuweka kuhakikisha kwamba jamii za Sebei na Pokot ambazo zimekuwa katika migogoro katika siku za hivi karibuni zinakumbatia amani na […]
-
BOWEN: OPARESHENI YA USALAMA IMEFANIKIWA BONDE LA KERIO.
Idara ya usalama eneo la pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi imeelezea kufanikiwa oparesheni ya kiusalama ambayo inaendeshwa na maafisa wa polisi kwa ushirikiano na wale wa KDF hasa […]
-
WANANCHI WATAKIWA KUTAHADHARI MVUA YA ELNINO INAPOTARAJIWA.
Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi hasa wanaoishi maeneo ambayo yana historia ya maporomoko ya ardhi wametakiwa kutahadhari pakubwa wakati huu ambapo mvua ya Elnino inatarajiwa kulingana na utabiri wa […]
-
MULEHI: USHIRIKIANO WA IDARA MBALI MBALI UNAHITAJIKA KATIKA KUSHUGHULIKIA MAJANGA KWENYE SERIKALI ZA KAUNTI.
Wadau kutoka sekta mbali mbali katika serikali za kaunti pamoja na vyombo vya habari wamekongamana mjini Kericho kupokea mafunzo kuhusiana na jinsi ya kuripoti na kushughulikia majanga yanayotokana na hali […]
Top News