News
-
KAMPENI YA KUHAKIKISHA WATOTO WOTE WANAENDA SHULE YAENDELEA POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kuhakikisha kwamba wanao waliofanya mtihani wa KPSEA na wa darasa la nane KCPE wanajiunga na viwango ambavyo wanapasa kuendeleza masomo yao. […]
-
IDADI KUBWA YA WANAFUNZI YAPELEKEA UHABA WA MIUNDO MSINGI SHULENI.
Shule mbali mbali za upili katika kaunti ya Pokot magharibi zimeendelea kukabiliwa na uhaba wa miundo msingi kufuatia idadi kubwa ya wanafunzi wa kidato cha kwanza ambao walisajiliwa katika shule […]
-
MASOMO YAENDELEA KULEMAZWA CHESOGON LICHA YA HAKIKISHO LA SERIKALI.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia hatua ya kutofunguliwa baadhi ya shule ambazo ziliathirika na hali ya utovu wa usalama mipakani pa kaunti hiyo, hasa eneo la chesogon licha […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATISHIA KUMBANDUA KINDIKI AFISINI.
Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto na mwenzake wa Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi Titus Lotee wamesuta hatua ya kuagizwa kuandikisha taarifa na idara ya DCI jijini Nakuru kufuatia swala […]
-
BIASHARA YA MAKAA YAKABILIWA POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani. Afisa mkuu katika wizara ya maji, mazingira, mali asili na tabia nchi kaunti ya Pokot magharibi Leonard Kamsait amewapongeza wafanyibiashara wanaoendesha biashara ya kuuza makaa kwa kukumbatia […]
-
KOMOLE AAPA KUTONYAMAZISHWA NA MAAGIZO YA KUANDIKISHA TAARIFA NA DCI KUHUSU USALAMA BONDE LA KERIO.
Na Emmanuel Oyasi. Naibu gavana kaunti ya Pokot magharibi Robert Komole ameshutumu hatua ya kuagizwa kuandikisha taarifa katika makao makuu ya DCI mjini Nakuru wiki jana kufuatia swala zima la […]
-
NAIBU GAVANA POKOT MAGHARIBI AANDIKISHA TAARIFA NA IDARA YA DCI KWA MADAI YA UCHOCHEZI
Na Emmanuel oyasi. Wakazi wa kaunti ya Pokot magharibi wameisuta serikali ya rais William Ruto kwa kile wamedai kuwahangaisha viongozi wa kaunti hiyo. Hii ni baada ya naibu gavana Robert […]
-
IDADI KUBWA YA WANAFUNZI WALIOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA YAPELEKEA UHABA WA MIUNDO MSINGI KATIKA SHULE MBALI MBALI
Na Benson Aswani. Uongozi wa shule ya upili ya wasichana ya St. Bakhita Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi umetoa wito kwa wahisani kujitokeza na kutoa ufadhili ambao utahakikisha kwamba […]
-
KUPPET YAIONYA TSC KUHUSU SHULE ZA UPILI ZISIZO NA WALIMU WAKUU POKOT MAGHARIBI.
Na Benson Aswani. Tume ya huduma kwa walimu nchini TSC imetakiwa kuharakisha mchakato wa kuwatuma walimu wakuu katika shule za upili ambazo hazina wakuu hao katika kaunti ya Pokot magharibi. […]
-
WATU WAWILI WADAIWA KUPIGWA RISASI NA KUJERUHIWA SARMACH NA MAAFISA WA KDF.
Na Emmanuel Oyasi. Mbunge wa Sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong amelaani vikali kisa cha kujeruhiwa wakazi wawili waliokuwa wakilisha mifugo wao eneo la Sarmach kwa madai ya kukabiliwa […]
Top News