News
-
WIZARA YA USALAMA YATAKIWA KUHARAKISHA MCHAKATO WA KUWAAJIRI MAAFISA WA NPR.
Mwakilishi wadi ya seker kaunti ya Pokot magharibi Jane Mengich ameitaka wizara ya usalama na maswala ya ndani ya nchi kuharakisha mchakato wa kuhakikisha maafisa wa akiba NPR wanaanza kuhudumu […]
-
SHUGHULI ZA MASOMO KUREJELEWA JANUARI KWENYE SHULE ZILIZOATHIRIKA NA UTOVU WA USALAMA POKOT MAFGHARIBI.
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki amewahakikishia wakazi wa maeneo ambako shughuli za masomo zilisitishwa kufuatia utovu wa uslama katika kaunti ya Pokot magharibi […]
-
WAAKILISHI WADI POKOT MAGHARIBI WASHIKILIA MSIMAMO WAO WA KUSITISHWA MARA MOJA KOMBE LA MURKOMEN.
Waakilishi wadi katika kaunti ya Pokot magharibi wamesisitiza msimamo wao kwamba kombe la murkomen ambalo linaandaliwa kwa ajili ya kuhimiza amani katika kaunti za bonde la kerio linafaa kusitishwa mara […]
-
WALIMU WA JSS WATISHIA KUSAMBARATAISHA SHUGHULI ZA MASOMO JANUARI IWAPO HAWATAAJIRIWA KWA MKTABA WA KUDUMU.
Walimu wa shule za sekondari ya msingi JSS katika katika kaunti ya Pokot magharibi wametishia kwamba watagoma kuanzia januari mwaka ujao iwapo tume ya huduma kwa walimu TSC haitawaajiri kwa […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI HATIMAYE YAPEWA MAAFISA WA NPR BAADA YA SHINIKIZO ZA MUDA.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameipongeza serikali kupitia wizara ya usalama na maswala ya ndani ya nchi kwa kuhakikisha kwamba kaunti hiyo pia inapewa maafisa wa akiba […]
-
SERIKALI YASHUTUMIWA KWA KUENDELEZA UBAGUZI KATIKA VITA DHIDI YA UHALIFU BONDE LA KERIO.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia jinsi serikali inavyoshughulikia swala la utovu wa usalama katika kaunti za bonde la kerio wakidai inaendeleza ubaguzi katika kuhakikisha hali ya usalama […]
-
SERIKALI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA MAZINGIRA BORA KWA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU NCHINI.
Waziri wa leba Bi. Florence Bore amesema kwamba watu wanaoishi na ulemavu nchini wameendelea kukumbwa na vizingiti ambavyo kwa miaka mingi vimewapelekea kukosa kuhusika kikamilifu katika maswala ya maendeleo na […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA ZOEZI LA KUWAPA MIFUGO DAWA YA MINYOO.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi kupitia wizara ya kilimo na mifugo kwa ushirikiano na shirika la PSF Germany imeendeleza shughuli ya kuwapa mifugo dawa ya minyoo katika juhudi za […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA KOMBE LA MURKOMEN KUSITISHWA KWA KUKOSA KUAFIKIA MALENGO YA KULETA AMANI.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi sasa wanataka mashindano ya kombe la Murkomen, kusitishwa mara moja kwa kile wamedai kwamba yamekosa kuafikia malengo ya kuhakikisha amani katika kaunti […]
-
KACHAPIN ASHINIKIZA SHULE ZILIZOFUNGWA KUTOKANA NA UTOVU WA USALAMA KUFUNGULIWA JANUARI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba masomo yanarejelewa mwezi januari, katika shule ambazo zilifungwa maeneo ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu […]
Top News