Author: Charles Adika
-
MZUNGUKO XTRA FRIDAY
Afamash & Dj Rayyiz We got a surprise for you Mally she is in the house
-
-
WAWAKILISHI WADI KUTOKA KAUNTI YA TRANS NZOIA WATAKA KINOTI KUSIMAMISHWA KAZI
Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti ya Trans Nzoia wamemrai rais Uhuru Kenyatta kumfuta kazi mkurugenzi wa idara ya upelelezi DCI George Kinoti kufuatia tangazo lake kwamba analenga kuendelea kufuatilia […]
-
MGOMO WA MADAKTARI WAINGIA SIKU YAKE YA SITA
POKOT MAGHARIBI Mgomo wa madaktari katika kaunti ya Pokot Magharibi ambao uling’oa nanga siku ya ijumaa wiki iliyopita umeingia siku ya sita.Waziri wa afya kaunty ya Pokot Magharibi Jackson Yaralima […]
-
SOKO LA KISASA KUJENGWA ENEO BUNGE LA SABOTI
TRANS NZOIA Wenyeji wa wadi Tuwani eneo bunge la Saboti kaunti ya Trans-Nzoia wanatazamia kufaidi kupitia kwa ujenzi wa soko la kisasa kwa ushirikiano wa serikali kuu na serikali ya […]
-
WASHIKA DAU KATIKA WIZARA YA MIPANGILIO YA SERIKALI WAZURU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Washikadau katika wizara ya mipangilio ya serikali hiyo jana wamezuru kaunti ya Pokot Magharibi kwa lengo la kuangazia na kuweka wazi ripoti inayohusu maswala ya kiuchumi, democrasia, maendeleo ya jamii […]
-
VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA VYAKITHIRI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa wasichana katika kaunti ya Pokot Magharibi vinazidi kuongezeka kila kuchao huku mashirika mbalimbali yakiingilia kati suala hilo zima katika kuwahimiza wazazi kukaa karibu […]
-
-
-
Top News