Author: Charles Adika
-
SERIKALI ZA KAUNTI ZAWATISHIA KUWAFUTA WAHUDUMU WA AFYA WANAOGOMA
Kwa sasa hatuna fedha za kushughulikia malalamishi ya wahudumu wa afya ambao wanagoma.Ni usemi wa baraza la magavana nchini ukiongozwa na mwenyekiti wake Wycliffe Oparanya.Oparanya amesema kuwa iwapo wahudumu hao […]
-
WIZI WA NG’OMBE WATEKELEZWA KAPEDO NA KAKAMEGA
Mtu mmoja anahofiwa kufariki huku mwingine akijeruhiwa vibaya baada ya wezi wa mifugo kudaiwa kuvamia kijiji kimoja katika eneo la Kapedo mpakani pa kaunti za Baringo na Turkana.Inaarifiwa kuwa wanafunzi […]
-
BAADHI YA SHULE ZA MSINGI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI ZINAKUMBWA NA UHABA WA WALIMU
Huku ikiwa ni wiki ya pili tangu masomo kurejelewa humu nchini na wanafunzi kurejea shuleni siku ya jumatatu wiki jana, baadhi ya shule zinapitia changamoto si haba kutokana na uhaba […]
-
WAJANE NA MAYATIMA KUTOKA ENEO BUNGE LA LURAMBI KAUNTI YA KAKAMEGA WAPOKEA MSAADA WA KIFEDHA ILI KUANZISHA BIASHARA
Kanisa la Holy Apostolic Believers Church kaunti ya Kakamega limeanzisha mradi wa kuwapa vyakula na fedha wajane na mayatima kutoka eneo bunge la Lurambi ili kuanzisha biashara, ambao wamejitoza kwenye […]
-
WENYEJI WA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI WAMEBAKI NA MASWALI ALIKO GAVANA LONYANG’APUO
Ni muda wa wiki tatu saa tangu gavana wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Prof John Krop Lonyang’apuo hajaonekana kwa umma baada ya kudaiwa kwamba alikuwa afisini mwake mara ya […]
-
JAMII YA POKOT INAYOISHI NCHINI UGANDA IMEMSIFIA RAIS YOWERI MUSEVENI KWA KUFANIKISHA AMANI MIONGONI MWAO
Huku uchaguzi mkuu wa taifa la Uganda ukiwa umekaribia kufanyika, wakazi wa jamii ya Pokot wanaoishi katika Eneobunge la Amudat nchini humo, wamemsifia Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kwa […]
-
IDADI YA WASICHANA AMBAO WAMEREJELEA MASOMO YAO KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI NI YA CHINI
Waziri wa elimu katika kaunti ya Pokot Magharibi Ruth Kisabit ametaja mimba za mapema na kuwaoza wasichana mapema katika kaunti hii kuwa kigezo kikuu cha kushuhudia idadi ndogo ya wasichana […]
-
AMOS WAFULA AMEKABIDHIWA TIKETI NA CHAMA CHA FEDERAL KUWANIA UCHAGUZI MDOGO WA KABUCHAI
Chama cha Federal kimemkabidhi Amos Wafula tiketi ya kugombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Kabuchai.Ni rasmi kwamba chama hicho kitawasilisha muwaniaji wake katika uchaguzi huo mdogo wa Kabuchai baada ya […]
-
AFISI YA WATOTO MJINI KAPENGURIA YAWAONYA WALE AMBAO WANAENDELEZA UKEKETAJI NA KUWAOZA WATOTO WA KIKE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Afisa katika idara ya watoto mjini Kapenguria Fredrick Nyatigi amesikitishwa na visa vya ukeketaji na kuwaoza wasichana mapema katika kaunti ya Pokot Magharibi.Nyatigi amewaonya vijana wanaohusika katika kuwalazimisha mabinti hao […]
-
MBUNGE WA KAPENGURIA SAMUEL MOROTO AMEWATAKA WAKAAZI WA ENEO LA KABOTO CHEPCHOINA KUISHI KWA AMANI
POKOT MAGHARIBI Saa chache tu baada ya Kalya Radio kuangazia kisa cha baba ya watoto tisa aliyenuia kununua shamba kushambuliwa na kundi la vijana kwenye eneo la Kaboto Chepchoina, Mbunge […]
Top News