Author: Charles Adika
-
-
-
-
-
RAIS ATAKIWA KUONDOA KAFYU SHULE ZINAPOFUNGULIWA RASMI.
Wazazi katika kaunti ya Trans nzoia wamewaomba walimu wakuu kuzingatia agizo la waziri wa elimu prof. George Magoha la kutowatuma nyumbani wanafunzi kufuatia ukosefu wa karo.Wazazi hao wamesema kuwa wamepitia […]
-
KUKAMATWA MAJAJI WAWILI KWAZIDI KUKASHIFIWA.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi kufuatia hatua ya maafisa wa DCI kuwatia mbaroni majaji wawili Aggrey Mchelule na Said Chitembwe juma jana na kuwahoji kabla ya kuwaachilia muda […]
-
POGHISIO ATETEA HATUA YA KANU KUTOJIONDOA JUBILEE ILI KUBUNI OKA
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametetea hatua ya chama cha KANU kusalia katika chama cha Jubilee licha ya kubuni muungano wa One Kenya Alliance na vyama […]
-
WALIMU WATAKIWA KUTOWAREJESHA NYUMBANI WANAFUNZI SHULE ZINAPOFUNGULIWA LEO.
Shule zinapofunguliwa leo kwa muhula wa kwanza miito imeendwelea kutolewa kwa serikali kuhakikisha kuwa wanafunzi wanasalia shuleni kuhudhuria masomo na kutoruhusu walimu wakuu kuwarejesha nyumbani kutafuta karo.Wa hivi punde kutoa […]
-
-
Top News









