Author: Charles Adika
-
SERIKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI KWA HARAKA NA KUHAKIKISHA HALI YA USALAMA INAIRIMARISHWA ENEI LA CHESOGON KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
NA BENSON ASWANIVisa vya utovu wa usalama eneo la chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo Marakwet vimeendelea kuripotiwa.Hii ni baada ya wavamizi wanaoaminika […]
-
VISA VYA UKEKETAJI VIMEPUNGUA KWA ASILIMIA KUBWA KATIKA ENEO LA KACHELIBA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Na Benson AswaniShughuli ya kutoa uhamasisho kwa umma kuhusu athari za ukeketaji imepelekea kupungua pakubwa visa hivyo eneo lake Kapchok katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kulingana na chifu […]
-
MWANAMME MMOJA ENEO LA MACHEWA BONDENI KAUNTI YA TRANSNZOIA AMEMKATA MAMAKE KWA UPANGA NA KISHA KUUWAWA NA WAKAAZI WENYE HAMAKI.
NA BENSON ASWANIMwanamme mmoja mwenye Umri wa miaka Hamsini na Mitatu Mkaazi wa Bondeni Machewa katika kaunti ya Transnzoia amemuuwa Mamake mwenye umri wa miaka Sabini na sita kwa kumkata […]
Top News







