Author: Charles Adika
-
HISIA ZA ENDELEA KUTOLEWA BAADA YA KUAPISHWA KWA GAVANA SIMON KACHAPIN KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Viongozi mbali mbali wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupongeza kuapishwa rasmi gavana wa kaunti hii Simon Kachapin kuanza tena kuhudumu kama gavana wa kaunti hii.Wakiongozwa na mbunge wa […]
-
VIONGOZI WA KENYA KWANZA WAENDELEZA KAMPEINI KATIKA MAENEOBUNGE YA POKOT KUSINI NA KACHELIBA KAUNTI YA POKOT
Viongozi mbalimbali wa Muungano wa Kenya Kwanza wakiongozwa na Naibu Rais Mteule Rigathi Gachagua wanatarajiwa kuzuru Kaunti ya Pokot Magharibi leo hii siku mbili kabla ya uchaguzi uliohairishwa ambao utafanyika […]
-
MIKAKATI YA KUANDAA CHAGUZI ZILIZOAHIRISHWA YAKAMILIKA.
Baadhi ya wagombea nyadhifa za uongozi katika maeneo ambako uchaguzi mkuu uliahirishwa wameelezea kuridhia tarehe mpya ya uchaguzi huo iliyotangazwa na tume ya uchaguzi IEBC.Mwenyekiti wafula chebukati alisema tume hiyo […]
Top News








