Author: Charles Adika
-
SHUGHULI ZA MASOMO KUATHIRIKA TENA KATIKA SHULE ZITAKAZOTUMIKA KAMA VITUO VYA KUPIGIA KURA.
Shule za kutwa kwenye maeneo ambako kutafanyika uchaguzi jumatatu wiki ijayo zitafungwa kwa siku moja ili kupisha shughuli hiyo muhimu.Akitangaza hayo waziri wa elimu prof. George Magoha alisema wanafunzi kwenye […]
-
AZIMIO YAWASILISHA RUFAA YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI WA URAIS.
Chama cha muungano wa azimio la umoja one Kenya hatimaye kimewasilisha rufaa ya kupinga matokeo ya uchguzi mkuu wa agosti 9.Katika stakabadhi yenye kurasa 76, kinara wa muungano huo Raila […]
-
MCHAKATO WA KUPATA UONGOZI MPYA POKOT MAGHARIBI WAELEKEA KUKAMILIKA.
Mipango ya kuingia afisini rasmi serikali mpya inayoongozwa na gavana mteule Simon Kachapin katika kaunti hii ya Pokot magharibi inaendelea, kamati ya kufanikisha ukabidhianaji mamlaka ikiwa katika hatua za mwisho […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZASALIA KIKWAZO KWA ELIMU YA MTOTO WA KIKE POKOT MAGHARIBI.
Huenda baadhi ya wanafunzi hasa wa kike katika kaunti hii ya Pokot magharibi wakakosa kurejea shuleni baada ya shule kufunguliwa tena kutokana na likizo ya majuma mawili ambayo yalitumika kuandaa […]
Top News









