Author: Charles Adika
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKA FIDIA KWA WALIOATHIRIKA NA UVAMIZI.
Kama njia moja ya kuponya makovu ya ujambazi katika bonde la kerio, viongozi wa eneo hilo wamesema watapitisha mswada bungeni wa kuwalipa fidia walioathirika na visa vya mara kwa mara […]
-
JUHUDI ZA MASHIRIKA YA KIJAMII POKOT MAGHARIBI ZAPONGEZWA.
Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi katika kaunti hii ya Pokot magharibi Wilfred Longronyang ameyapongeza mashirika ya kijamii katika kaunti hii yakiwemo ACF na FAO kwa juhudi ambazo yanafanya kuwawezesha […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA VITUO VYA POLISI TIATI.
Pana haja ya serikali kupitia wizara ya usalama wa kitaifa kuongeza idadi ya vituo vya polisi katika eneo bunge la Tiaty ili kuimarisha usalama. Ndio usemi wake mbunge wa mogotio […]
Top News








