Author: Charles Adika
-
IDARA YA POLISI KACHELIBA YAPIGA MARUFUKU DENSI ZA USIKU.
Idara ya polisi eneo la kacheliba kaunti ya Pokot magharibi imepiga marufuku hafla zozote za usiku katika eneo hilo hasa msimu huu wa desemba ambao huandamana na sherehe nyingi. Akizungumza […]
-
BAADHI YA WAFANYIKAZI WA KAUNTI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUSITISHWA MISHAHARA YAO.
Baadhi ya wafanyikazi wa serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kupitia hali ngumu wakidai kutolipwa mishahara licha ya kutoa huduma. Wakizungumza na wanahabari wafanyikazi hao walisema tangu kuajiriwa […]
Top News







