Author: Charles Adika
-
BENKI YA EQUITY YAZINDUA UFADHILI WA WANAFUNZI KUPITIA ELIMU SCHOLARSHIP POKOT MAGHARIBI.
Benki ya Equity tawi la Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot Magharibi imezindua rasmi mpango wa elimu scholarship kuwafadhili wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane […]
-
WALIMU KUTOKA POKOT MAGHARIBI WANAOFUNZA TRANS NZOIA WAAPA KUTOREJEA DARASANI IWAPO HAWATAPEWA UHAMISHO.
Walimu kutoka kaunti ya Pokot magharibi wanaofunza katika shule za kaunti ya Trans nzoia waliandamana katika afisi za tume ya huduma kwa walimu TSC mjini Kapenguria kushinikiza kupewa uhamisho ili […]
Top News







