Author: Charles Adika
-
JAMII YA KARAMOJA YATAJWA KUWA MWIBA , KWEN NA KARITA.
Wakazi wa jamii za eneo la Kwen mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wamelalamikia kukithiri utovu wa usalama eneo hilo hasa unaohusu wizi wa mifugo.Wakiongozwa […]
-
HUDUMA ZA MAHAKAMA ZATARAJIWA KUIMARIKA POKOT MAGHARIBI IDARA HIYO IKILENGA KUJENGA MAHAKAMA ZAIDI.
Idara ya mahakama kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inalenga kufungua mahakama zingine mbili maeneo ya Alale na Sigor kama njia moja ya kupeleka huduma za mahakama […]
-
UTEUZI WA LONYANGAPUO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA MAJI KASKAZINI MWA BONDE LA UFA WAPONGEZWA.
Hatua ya rais William Ruto kumteua aliyekuwa gavana wa kaunti ya Pokot magharibi John Lonyangapuo kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la ustawishaji wa maji eneo la kaskazini […]
Top News









