Author: Charles Adika
-
MIMBA ZA MAPEMA NA TATIZO LA KARO YATAJWA MIONGONI MWA SABABU ZA KUTOFANYA VYEMA KATIKA KCSE BAADHI YA WANAFUNZI.
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa baadhi ya wanafunzi wa kike kaunti ya Pokot magharibi pamoja na tatizo la karo ni baadhi ya changamoto ambazo zilipelekea baadhi ya shule […]
-
BENKI YA EQUITY YAZINDUA UFADHILI WA WANAFUNZI KUPITIA ELIMU SCHOLARSHIP POKOT MAGHARIBI.
Benki ya Equity tawi la Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot Magharibi imezindua rasmi mpango wa elimu scholarship kuwafadhili wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane […]
-
WALIMU KUTOKA POKOT MAGHARIBI WANAOFUNZA TRANS NZOIA WAAPA KUTOREJEA DARASANI IWAPO HAWATAPEWA UHAMISHO.
Walimu kutoka kaunti ya Pokot magharibi wanaofunza katika shule za kaunti ya Trans nzoia waliandamana katika afisi za tume ya huduma kwa walimu TSC mjini Kapenguria kushinikiza kupewa uhamisho ili […]
Top News