Author: Charles Adika
-
UMASIKINI MIONGONI MWA KINA MAMA WATAJWA KUWA CHANZO KIKUU CHA DHULUMA ZA KIJINSIA.
Umasikini na hali ya wanawake kuwategemea zaidi waume zao kwa mahitaji yao mengi hasa ya kimsingi ndio maswala ambayo yametajwa kuchangia zaidi visa vya ukeketaji na dhuluma za kijinsia miongoni […]
-
MTU MMOJA AUAWA HUKU WAWILI WAKIJERUHIWA TURKWEL.
Mtu mmoja ameuliwa kwa kupigwa risasi huku wengine wawili wakiachwa na majeraha mabaya eneo la Turkwel kaunti ya Pokot magharibi katika shambulizi la hivi punde ambalo linaaminika kutekelezwa na wahalifu […]
-
MWANAMKE AWATEKETEZA WATOTO WA MKE MWENZA NA KUTOWEKA KAPCHOK, POKOT MAGHARIBI.
Polisi eneo la Kapchok kaunti ya Pokot magharibi wanamsaka mwanamke mmoja anayedaiwa kuwateketeza watoto watatu baada ya kuwafungia katika chumba ambacho kilikuwa kimeezekwa kwa nyasi katika kijiji cha Kalukuna wadi […]
-
SHULE YA UPILI YA KAPSAIT YANUFAIKA NA MRADI WA MAJI KUTOKA KANISA LA ST. GEORGES BAPTIST SOUTH CAROLINA USA.
Shule ya upili ya Kapsait eneo bunge la pokot kusini kaunti ya Pokot magharibi ni moja ya shule ambazo zimenufaika na mradi wa maji ambao umefadhiliwa na kanisa la St.Georges […]
Top News








