Tag: West Pokot
-
Lochakapong ataka swala la uchimbaji madini kutoingiza siasa Pokot magharibi
Na Benson Aswani,Mjumbe wa sigor kaunti ya Pokot magharibi Peter lochakapong amewasuta baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kwa kile amedai wameingiza siasa katika swala zima la uchimbaji […]
-
Serikali ya Kenya kwanza imejitolea kuimarisha maisha ya mwananchi; Arumonyang
Na Benson Aswani,Katibu wa idara ya kazi za umma Joel Arumonyang ametetea miradi ya maendeleo ambayo inaendelezwa na serikali yake rais William Ruto, akisema serikali kuu imejitolea kuimarisha maisha ya […]
-
Kampuni ya kutengeneza mfumo wa upitishaji maji taka yalaumiwa kwa kutelekeza miradi ya maendeleo Kaplelach Koror
Na Emmanuel Oyasi,Wakazi eneo la Kaplelach koror eneo bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa miradi ambayo inapaswa kutekelezwa na kampuni ambayo imepewa kandarasi ya kutengeneza mfumo wa […]
Top News







