Tag: West Pokot
-
Ng’eno atimiza ahadi ya kugharamia elimu ya wasanii wawili Pokot Magharibi
Na Benson Aswani,Hatimaye mbunge wa Emurwa Dikir Johana Ng’eno ametimiza ahadi yake kugharamia elimu ya vijana wawili wasanii katika kaunti ya Pokot magharibi, ambayo alitoa katika hafla ya mwanamuziki mmoja […]
-
Wamiliki wa silaha kinyume cha sheria Pokot na Turkana wapewa makataa ya siku 7 kuzisalimisha
Na Benson Aswani,Kamishina wa kaunti ya Pokot magharibi Khalif Abdulahi amewataka wakazi ambao wanamiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha katika kipindi cha siku saba zijazo. Akizungumza baada ya kikao cha […]
-
Viongozi Pokot Magharibi watakiwa kuandaa kikao cha kuangazia swala la uchimbaji madini
Na Emmanuel Oyasi,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewataka viongozi kaunti hiyo kuandaa kikao cha kujadili hatima ya shughuli ya uchimbaji madini ambayo ilisitishwa kwa muda na […]
-
Wahalifu warejelea shughuli zao Songok
Na Benson Aswani,Chifu wa eneo la Songok mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana Joseph Korkimul amesikitikia kuchipuka tena visa vya utovu wa usalama mpakani pa […]
-
Wabunge waendelea kung’ang’ania mkoba wa NG-CDF
Na Benson Aswani,Viongozi wa kaunti ya Pokot amgharibi wameendelea kutofautiana na pendekezo la kinara wa chama cha ODM Raila Odinga la kutaka hazina ya maendeleo kwa maeneo bunge NG-CDF kuondolewa […]
-
Msako dhidi ya pombe haramu waendelezwa eneo bunge la Kapenguria
Na Benson Aswani,Idara ya polisi eneo bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi kwa ushirikiano na machifu wanaedeleza msako dhidi ya ugemaji wa pombe haramu katika juhudi za kukabili biashara […]
-
Wakazi wa Turkwel kunufaika na huduma za kampuni ya KenGen
Na Benson Aswani,Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amefanya kikao na meneja wa kampuni ya kuzalisha umeme ya KenGen, mhandisi Peter Njenga kuangazia utendakazi wa kampuni hiyo na […]
-
Raila analipwa na rais kutuharibia sifa; Moroto
Na Benson Aswani,Wabunge nchini wameendelea kulalamikia kauli ya rais William Ruto na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba wanajihusisha na maswala ya ufisadi katika kuwachunguza maafisa serikalini na […]
-
Poghisio atetea pendekezo la NG-CDF kuondolewa mikononi mwa wabunge
Na Emmanuel Oyasi,Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio ametetea kauli ya kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba hazina ya NGCDF ipokonywe wabunge na badala yake […]
-
Wakazi wa Endough watakiwa kujisajili kupata vitambulisho vya kitaifa
Na Benson Aswani,Mwakilishi wadi ya Endough kaunti ya Pokot magharibi Victor Siywat amepongeza idadi ya wakazi ambao wamejitokeza kuchukua vitambulisho katika zoezi ambalo limekuwa likiendelezwa eneo hilo. Akizungumza na kituo […]
Top News