Sports
-
Wachezaji Amos Wanjala na Aldrine Kibet wanaelekea kucheza nchini Uhispania
Nahodha wa timu ya taifa ya wachezaji wa chini ya umri wa miaka 20, Amos Wanjala, anatarajiwa kusaini mkataba na klabu ya Elche CF nchini Uhispania, akijiunga na mwenzake Aldrine […]
-
Yanga ndio mabingwa wa ligi kuu nchini Tanzania wa mwaka 2024/2025
NA PRESENTER WAKOLI Ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2024/25 imehitimishwa kwa namna isiyo ya kawaida. Yanga SC, klabu yenye historia kubwa na ushawishi mpana katika soka la Tanzania, […]
-
Hazina ya michezo inafaa kufadhili michezo pekee; Mvuria
Salim Mvuria waziri wa michezo na maswala ya vijana kenya, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Serikali imeanza kuchukua hatua za kulinda mfuko wa michezo, sanaa na maendeleo ya jamii wito ukitolewa wa […]
-
Kocha wa St Anthony Kitale Mayoyo amewaonya wapinzani kutarajia kivumbi mwaka huu
Peter Mayoyo {katika} katika hafla moja ya mashindano moja mwaka uliopita, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi, KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya shule ya upili ya St. Anthony Kitale katika […]
-
Ni sisi wenyewe tunaolemaza soka ya humu nchini; Kachapin
Simon Kachapin Gavana wa kaunti ya pokot magharibi, Picha/Maktaba Na Emmanuel Oyasi,Mwenyekiti wa kamati ya michezo katika baraza la magavana Simon Kachapin amesema mchezo wa kandanda hapa nchini haujafikia viwango […]
-
Kiungo wa zamani wa Harambee Stars, Victor Wanyama, amesajiliwa na klabu ya Daraja la Pili Scotland
Victor Mugubi Wanyama akiwa Dunfermline, Picha/Maktaba Na Presenter wakoli Kiungo wa zamani wa Harambee Stars, Victor Mugubi Wanyama, amesajiliwa na klabu ya Daraja la Pili Scotland, Dunfermline Athletic FC, kwa […]
-
Aston Villa To Sign Donyell Malen From Borussia Dortmund
By Njenga Brian Alias Deejay Rayyiz Aston Villa are set to add Donyell Malen from Borussia Dortmund to their squad as their first signing of the year with the £18 […]
-
“Voter Register Must Be Made Public, Transparent, And Safeguarded From Tampering”-Hussein Mohammed
By Emmanuel Wakoli, FKF Presidential hopeful Hussein Mohammed has raised concerns about voter register manipulation and the independence of the newly constituted FKF Electoral Board. Football Kenya Federation (FKF) presidential […]
-
McDonald Mariga Was Satisfied With Gor Mahia Perfomance Despite Defeat.
By Emmanuel Wakoli, Former Inter Milan midfielder McDonald Mariga has expressed admiration for the performance of FKF Premier League champions Gor Mahia despite their 3-0 home defeat to Egypt’s Al […]
-
Faith Kipyegon,Mary Moraa and Ferdinand Omanyala Lead Nominations For the Pulse Influencer Awards.
By Emmanuel Wakoli, Three-time Olympic 1500m champion Faith Kipyegon, world 800m champion Mary Moraa and Africa’s fastest man Ferdinand Omanyala lead nominations for the 2024 edition of the Pulse Influencer […]
Top News