News
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAANI MAUAJI YA MTU MMOJA OMBOLION.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu uvamizi wa hivi punde ambao umeshuhudiwa mipakani pa kaunti hii na kaunti jirani ya Turkana ambapo mtu mmoja aliuliwa na wahalifu eneo […]
-
KACHAPIN: MAPENDEKEZO YA JOPO LA KUANGAZIA MAGEUZI YA ELIMU YATAIMARISHA SEKTA YA ELIMU NCHINI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza mapendekezo ya jopo lililobuniwa na rais William Ruto kuangazia mageuzi katika sekta ya elimu nchini chini ya uwenyekiti wa Prof. Raphael […]
-
BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LAREJELEA VIKAO BAADA YA KUSITISHWA KWA MUDA KULALAMIKIA MISHAHARA.
Bunge la kaunti ya Pokot magharibi limerejelea rasmi vikao vyake baada ya kusitisha vikao hivyo kwa muda, wabunge katika bunge hilo wakilalamikia maswala mbali mbali ambayo wanashinikiza serikali kutekeleza ikiwemo […]
-
MTU MMOJA AUAWA KATIKA SHAMBULIZI LA HIVI PUNDE MPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Taharuki imeendelea kutanda katika mpaka wa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Turkana baada ya mtu mmoja kuuliwa kwa risasi eneo la Ombolion na watu wanaoaminika kuwa wavamizi […]
-
USALAMA WAIMARISHWA KWENYE MISITU YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUZUIA UKATAJI MITI HARAMU BAADA YA RAIS KUONDOA MARUFUKU.
Idara ya misitu katika kaunti ya Pokot magharibi imeweka mikakati ya kuhakikisha kwamba hamna ukataji miti ulio kinyume cha sheria baada ya rais William Ruto kuondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya […]
-
CHAKULA CHA MSAADA KILICHOPOTEA KANYARKWAT CHAPATIKANA.
Siku chache tu baada ya baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi kulalamikia kupotea kwa chakula cha msaada eneo la Kanyarkwat na mnagei, chakula hicho sasa kinadaiwa kupatikana. Akizungumza […]
-
UCHUNGUZI WAENDELEZWA KUHUSIANA NA KUPOTEA CHAKULA CHA MSAADA ENEO LA KANYARKWAT.
Baadhi ya viongozi eneo bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot magharibi wameshutumu kupotea kwa chakula cha msaada ambacho kilitolewa na serikali kwa ajili ya wakazi wanaokabiliwa na makali ya njaa […]
-
JAMII YAHIMIZWA KUJITENGA NA TAMADUNI YA UKEKETAJI POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wazazi katika kaunti ya Pokot magharibi kujitenga na tamaduni ya kuwakeketa pamoja na kuwaoza mapema wanao wa kike na badala yake kuwapa nafasi ya kuendeleza elimu ili […]
-
KINDIKI ATAKIWA KUFANIKISHA KUPANDISHWA VYEO MACHIFU WALIOONGEZA MASOMO.
Gavana wa kaunti ya Elgeyo marakwet Wesley Rotich ametoa wito kwa waziri wa usalama wa ndani ya nchi Prof. Kithure Kindiki kuhakikisha kwamba machifu ambao waliongeza masomo wanapandishwa vyeo na […]
-
WADAU WATAKIWA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA YA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Wito umetolewa kwa wadau mbali mbali katika sekta ya elimu kushirikiana na kushughulikia changamoto ambazo zinakabili sekta hiyo kaunti ya Pokot magharibi. Akizungumza baada ya kuzuru shule mbali mbali kaunti […]
Top News










