News
-
UKOSEFU WA ELIMU MIONGONI MWA WAKAZI WATAJWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mbunge wa sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ametoa wito kwa serikali kuwekeza raslimali nyingi eneo hilo analosema kwamba lingali nyuma zaidi kimasomo ikilinganishwa na maeneo mengine ya […]
-
SERIKALI YATISHIA KUBATILISHA LESENI ZA WANAOCHIMBA MADINI POKOT MAGHARIBI KINYUME CHA SHERIA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imetishia kubatilisha leseni za baadhi ya wawekezaji ambao wanaendeleza shughuli za kuchimba madini maeneo mbali mbali ya kaunti hiyo. Gavana Simon Kachapin alisema wapo […]
-
WAKAZI WA MAENEO YANAYOKUMBWA NA UTOVU WA USALAMA WAAGIZWA KUONDOKA AWAMU YA PILI YA OPARESHENI YA KIUSALAMA IKIANZA.
Wakazi wa eneo la Tukwel mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia tangazo la wizara ya maswala ya ndani ya nchi ambalo limewataka kuondoka mara moja eneo hilo kufuatia awamu […]
-
WANAOENDESHA OPARESHENI YA KIUSALAMA BONDE LA KERIO WATAKIWA KUDUMISHA NIDHAMU KATIKA SHUGHULI NZIMA.
Viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa maafisa wa usalama ambao wanaendesha oparesheni ya kiusalama katika kaunti 6 za kaskazini mwa bonde la ufa kuiendesha kwa utaratibu […]
-
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAKAZI SULUHU KWA TATIZO LA MAJI POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imeendelea kuweka mikakati ya kukabili tatizo la uhaba wa maji ambalo limekumba jamii nyingi maeneo mbali mbali ya kaunti hiyo na ambao umechangiwa pakubwa […]
-
MASHIRIKA YA KIJAMII POKOT MAGHARIBI YAELEZEA WASI WASI KUHUSU VIWANGO VYA DHULUMA DHIDI YA WANAWAKE.
Mashirika mbali mbali ya kijamii katika kaunti ya Pokot magharibi yalitumia hafla ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake duniani jumatano kuwahamsasisha wanawake kuhusu haki zao katika jamii. Wakiongozwa na […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAKOSOA HATUA YA KUHUSISHWA KAUNTI HII NA UTOVU WA USALAMA.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kukosoa dhana kuwa uhalifu mwingi ambao unatokea katika kaunti za bonde la kerio unahusisha jamii ya Pokot. Wakiongozwa na mbunge wa […]
-
WADAU MBALI MBALI WAENDELEA KUPINGA UAMUZI WA MAHAKAMA KUHUSU HARAKATI ZA LGBTQ NCHINI.
Viongozi mbali mbali wa kidini wameendelea kukosoa uamuzi wa mahakama ya upeo wa kuwaruhusu watu wanaoendeleza mahusiano ya jinsia moja kubuni mashirika ya kutetea maslahi yao. Wa hivi punde kuzungumzia […]
-
KUKITHIRI MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA NA POMBE KWAIBUA HOFU KACHELIBA.
Wakazi wa Kacheliba katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia kukithiri matumizi ya mihadarati na pombe miongoni mwa vijana. Wakiongozwa na kiongozi wa vijana eneo hilo Job Wanjala wakazi hao […]
-
MASOMO KATIKA SHULE ZA JUNIOR SECONDARY YAKABILIWA NA CHANGAMOTO.
Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia changamoto ambazo zinakabili utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya St Brendan […]
Top News